Na AMEDEUS SOMI,
DODOMA.
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi Stephen Wassira amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kwa kushinda kwa kura 1910 sawa na asilimia 99.42
Mchanganuo wa kura ulikua kama ifuatavyo:-
Jumla ya wapiga kura ni 1921 Jumla ya Kura halali 1917 zilizopigwa, kura za hapana 7 za ndio 1910 asilimia 99.42 zilizoharibika ni 4.
0 Comments