Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaolenga kubadilisha mikakati ya elimu ya juu umewezesha ujenzi wa majengo mapya 370, kutoa mafunzo kwa wafanyakazi 526 na kurekebisha takriban mitaala 563 ili kuendana na mahitaji ya sasa ya soko la ajira duniani kote.
Mradi wa HEET tayari umesaidia mipango mbalimbali, ikiwa ni pamoja na maendeleo ya miundombinu na ushirikiano wa teknolojia ya kidijitali katika utoaji wa elimu.
#KAZIINAONGEA
0 Comments