Na Mwandishi Wetu,
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki inaelezwa ameongeza mkataba wa miaka miwili na
timu hiyo.
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki
wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa
kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza
kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3.
5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa
kujiunga na Simba Sc.
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars Yusuph Kagoma
anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa
virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc
kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa
Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro
Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa
kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki wa kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa
kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga amejiunga Far Rabat
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS
Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine
Okejepha
14. Derick Fordojou anawindwa na mnyama
15. Rodgers Torach, anafuatiliwa na Simba SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba
SC
17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC
18. Victorien Adebayor anatakiwa na Singida Black Stars SC
19. Beno Kakolanya, anawindwa na Young Africans kuziba
nafasi ya Metacha Mnata
20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young
Africans
21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda na timu
kutoka Angola
22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyson Gelard
anatakiwa na Young Africans
23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga
24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao
25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga
26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy
27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC
28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC?
30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt
vimeonesha nia ya kuhitaji huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc
31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga na Young Africans
32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC
33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC
34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na
Simba Sc
35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc.
36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc kama mambo
hayatabadilika
37. Mabululu anatakiwa Simba SC na timu kutoka Uarabuni
38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC
39. Chadrack Boka ni mwananchi
40. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga
41. Aziz Andambwile anahitajika Simba SC kuchukua nafasi ya
Abdallah Hamis
42. Keneth Semakula anawaniwa na Simba Sc na Azam FC
43. Jhonier Blanco mrithi wa Dube Azam fc
44. Elia Mpanzu anakaribia kujiunga Simba SC
45. Simba SC inajaribu kuparamia Dili la Yussufu Kagoma
kwenda Young Africans
46. Skauti wa Simba na FC TWENTE ya uholanzi, Mels Daadler
ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Simba
47. Kocha wa magolikipa wa Simba Sc, Daniel Cadena
anakaribia kuondoka Simba Sc
48. Simba SC inamfukuzia kwa karibu kocha mkuu wa Petro
Athletico ya Angola Alexander Santos
49. Thank you Pa Omar Jobe
50. Steven Mukwara anatakiwa Simba Sc
51. Juma Mgunda ana asilimia kubwa kuwa kocha mkuu mpya wa
Simba SC
52. Thank you Augustine Okra
53. Kenedy Juma anakaribia kujiunga na Coastal Union
54. Miguel Gamond atasalia Young Africans kwa mwaka mmoja
55. WIinga Serge Pokou kutoka Asec Mimosas anakaribia
kujiunga na Simba Sc
56. Kocha Steve Komphela anaweza Kuja Simba
57. Barbara Gonzalez anakaribia kuchukua nafasi ya TRY AGAIN
58. Imman Kajula hatoendelea kuwa CEO wa Simba
59. Manu Bora anatakiwa Young Africans
60. Valentin Nouma anatakiwa na Simba SC
61. Joshua Mutale anatakiwa na Simba SC
62. Mohamed Damaro Camara anatakiwa Simba SC
63. Kuna uwezekano mkubwa wa Juma Mgunda kurudi Coastal
Union Kwa mkopo
64. Banza Kalumba anatakiwa na Coastal Union
65. Beki wa Kushoto wa KMC, Rahim Shomari anatakiwa na Simba
SC
66. Augustine Okejepha anakaribia kujiunga Simba SC
67. Soul Davilla anahisishwa na Simba SC
68. Uwezekano wa Jean Baleke kurejea Simba SC ni mkubwa sana
69. Kelvin Kapumbu anaweza kujiunga na Simba SC
70. Djuma Shaban amejiunga na Coastal Union
71. George Mpole anawindwa na Yanga
72. Kipa wa Simba , Ayoub Lakred ataendelea kusalia na Klabu
hiyo hadi 2025
73. David Luhende na Abdallah Seseme wamesaini Dodoma Jiji
Fc
74. Kipa Msudani, Mohammed Mustapha amesaini kandarasi ya
kudumu Azam FC
75. William Togul Mel, straika Muivory Coast anawaniwa na
Simba SC
76. Arthur Bada anawindwa na Simba SC
76. Young Africans itamsajili Aboubakar Komen ikimkosa Yona
Amos
77. Aubin Kramo ataendelea kuitumikia Simba SC
78. Tandi Mwape anatakiwa na Simba SC
79. Charles Ahoua anatakiwa na Simba SC
80. Kiungo wa Mashujaa FC, Omary Omary anatakiwa na Simba SC
81. Yacoub Sogne anawaniwa na Young Africans na Singida
Black Star
82. Prince Dube huenda akasajiliwa na Wananchi Yanga Sc
83. Edward Charles Manyama anaweza kusaini Singida Black
Stars muda wowote
84. Kipre Junior anaweza kutimkia MC Algers ya Algeria
85. Karim Kimvuid anatakiwa na Young Africans
86. Clatous Chota Chama, anaweza kuondoka Simba SC kama
mambo hayatabadilika na anahusishwa na Yanga Sc.
87. Ayoub Lyanga anaweza kujiunga Singida BS
88. Chota Chama anafikiria
hatma yake kubaki ama kusaka malisho mahali pengine.
89. Beki Khadim Diaw anatakiwa na Simba SC
90. Hassan Ssenyonjo kutoka Wakiso ya Uganda anakaribia kutua
Yanga
91. Jean Ahoua anatakiwa Simba SC
92. Adolph Mutasingwa anatakiwa Young Africans
93. Idumba Fasika anatakiwa Simba SC
94. Debora Fernandez ametua Simba SC
0 Comments