HEADLINES

6/recent/ticker-posts

ZAIDI YA WAKULIMA 13,158 WANUFAIKA NA HUDUMA ZA UGANI


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024 imenunua leseni za kudumu 143 ili kuwezesha vifaa vya kupima afya ya udongo (soil scanner) kufanya kazi iliyokusudiwa. 

Aidha, hadi kufikia tarehe 24 Aprili, 2024 jumla ya sampuli 14449 katika mashamba yenye ukubwa wa ekari 49633 zimepimwa afya ya udongo ambapo zaidi ya wakulima 13,158 wamenufaika

Post a Comment

0 Comments