HEADLINES

6/recent/ticker-posts

HAWA HAPA WASHINDI WA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QUR’AAN 2024


 Hawa hapa washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur’aan mwaka 2024.


Na Amedeus Somi,
DAR ES SALAAM.


5.Idrissa nshimwe Burundi zawadi dolla 1700 mil 4,590  medali ya silva ya thamani ya Millioni 11.6 na cheti cha ushindi.

Iddrisa Nishimwe kutoka Burundi aliyepata shilingi milioni 4.5.

4.Camilu Ismail 97.96 kutoka Togo anaondoka na Dolla 3000 sawa na Tsh 8M

 medali ya Silva yenye thamani ya Tsh Millioni 11.6.

Mshindi wa nne ni Kamilou Koura kutoka Togo (shilingi milioni 8.1) 

3.Kaamil Al-Amin Swaleh Mtanzania kutoka katika Taasisi ya Al Hikma Foundation ameshika nafasi ya tatu na anaondoka na kitita cha Dolla 4300 sawa na Tsh-11,610m na medali ya Silva ya thamani ya Tsh Millioni 11.5 cheti cha ushindi ana ofa ya kutibiwa royal poly clinic mwaka mzima bure.

Kaamil Al-Amin Swalehe, kijana wa Tanzania anayesoma katika taasisi ya Al-Hikma Foundation ameibuka mshindi wa tatu katika mashindano makubwa ya kusoma Quran Afrika. Kwa hatua hiyo, Kaamil ametia kibindoni Dola za Marekani 4,500 (shilingi milioni 11.6).

2.Hafi Abdulkarim Kabitto kutoka Uganda anapata Dolla 6400 sawa na Tsh mil 16  medali ya silva yenye thamani ya Millioni 11.6m na cheti cha ushindi.


Mshindi wa pili katika mashindano hayo ni Hafiidh Abdulkariim Kabiito (18) kutoka Uganda aliyejinyakulia Dola za Marekani 6,400 (Shilingi milioni 17.2). Kabiito pia amepata tuzo ya kuwa mshiriki mwenye sauti nzuri ya kusoma Quran kuliko wote.

1.Ibrahim So kutoka Ivory Coast mwenye unri wa miaka 14 amekuq mshindi wa kwanza kwa kupata alama 98.96 anaondoka na kitita cha $10k sawa na Tsh Millioni 27 medali ya Silva yenye thamani ya Tsh Millioni 3 pamoja na Cheti cha ushindi.

Mshindi wa kwanza ni kijana kutoka Ivory Coast, Ibrahim Sow (14) aliyezoa shilingi milioni 27 na wa pili ni Hafiidh Abdulkariim Kabiito kutoka Uganda aliyezawadiwa shilingi milioni 17.2.


Mashindano hayo yamefanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na yamehudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi.


Ni msimu wa 14 wa Mashindano hayo yanayoandaliwa na Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation Sheikh Nurdeen Kishk








Post a Comment

0 Comments