HEADLINES

6/recent/ticker-posts

MAADHIMISHO YA SIKU YA MWALIMU BUKOMBE 2023




 Na Mwandishi Wetu,

Leo Oktoba 5, 2023 Sherehe ya Siku ya Mwalimu Duniani inaadhimishwa katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita ambayo itahudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Mkoa pamoja na Walimu kutoka wilayani Bukombe. 

Mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda.


Viongozi wengine wanaoshiriki  sherehe hiyo ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella.

Kaulimbiu ya Siku hii ni "Asante Mwalimu, Wewe ni Taa Yetu"


Post a Comment

0 Comments