Na Mwandishi wetu
Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mh.Batlida Buriani na viongozi mbalimbali kutoka katika Halmashauri za Wilaya za Mkoa wa Tabora na taasisi za Serikali na zisizo za Serikali na Watumishi wa umma wakiwa katika Mbuga ya hifadhi ya Ugalla. Lengo kubwa ni kuitangaza Mbuga hii na vivutio mbalimbali vilivyopo katika Mkoa wa Tabora. Tukio hili limefanyika baada ya kuitambulisha Filamu ya "Royal tour" katika Mkoa wa Tabora.
0 Comments